MTAA WA TATU (15)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (15)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA KUMI NA TANO ILIPOISHIA... Baada kunipiga alimuuliza hivyo mama wa kambo basi akatoka jikoni akiwa kashika mwiko akaja kunichapa nao. NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Hakuchaguwa sehemu ya kunipiga popote pale mwiko ulitoa iwe kichwani, usoni, nikapiga kelele kwa maumivu na kukimbilia nnje Baba akabaki kucheka tu, Nikaja kujirahumu kwa kumpa sifa za pekee baba yangu kumbe kageuka kuwa mnyama hafai hata kidogo kwenye jamii nikaanza kuteswa shule ikawa ndio basi tena kimbilio pekee nikaenda kushitaki kwa Shangazi nikampa full story shangazi akaja kumsema kaka yake mbele ya mama wa kambo Baba akapaniki na kumpiga Dada yake kama vile hamj…