MTAA WA TATU (16)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA KUMI NA SITA ILIPOISHIA... Watu walicheka na kusema Kidevu leo kawa kitobo anachomwekwa tu, baada hapo akaenda kudeki choo kisha akafagia uwanja Akachukuwa takataka na kwenda kuzimwaga shimoni NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... “baby kumbe wee noma ehee?" “unoma wangu nini tena"..... “mi nilijuwa kitandani tu kumbe hadi kupigana kibabe unaweza sasa nitatembea kifua mbele keko nzima wataisoma number"... Hafidhi akacheka sana na kutoka nnje akaingia kitaa kila sehemu akakuta imebandikwa picha yake ajabu kila anaekutana nae amsitukii kama ndio yeye, Akadata si kidogo na kujiuliza inakuwaje au watu hawajui kufananisha nini? Akai…