MTAA WA TATU (17)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA KUMI NA SABA ILIPOISHIA... “Kwanini usiipate?" Hafidhi akauliza hivyo, “siruhusiwi kuingia ndani ya chumba kile tokea mama yangu afariki kile chumba nikanyang'anywa na kuambiwa niwe nalala stoo" NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... “ok! usijali kuhusu hilo niambie tu umeiweka sehemu gani?" basi Habiba akataja sehemu aliyo hifadhi hiyo barua Mwanaume akasema kila kitu niachie mie. Ndani ya mtaa wa tatu kulikuwa na furaha baada mitaa yote kuungana na kuwa kitu kimoja heshima ikawekwa Kamanda Chollo akasimama juu ya steji na kuongea machache “kwanza shukrani kwa Muumba wa mbingu na ardhi kwani bila yeye tusingeweza kukutan…