MTAA WA TATU (18)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (18)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA KUMI NA NANE ILIPOISHIA... Salome akaongea hivyo kwa kupaza sauti wakati Chande ameishia zake Akamgeukia Hafidhi na kumsalimia “mambo vipi?" “poa tu" “naona umekaa huku peke yako wakati vijana wote tupo kule tunachangamsha damu" NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... “Ndio nawaona sema mimi na mziki vitu viwili tofauti yani sipendi kabisa". “ok! naona umeniita sijui nikusaidie nini kaka yangu?" Salome akauliza hivyo Hafidhi akaona subiri aitumie nafasi ipasavyo akapiga hatua kumsogelea Salome akamshika na kumvutia gizani. “wee kaka niache bwana unataka kunifanyaje"...... Basi akabambanishwa ukutani chupa ya bia i…