MTAA WA TATU (19)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (19)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA KUMI NA TISA ILIPOISHIA... “Unataka kukataa sio wakati umekutwa eneo la tukio shenzi zako. Tuambie ukweli kwanini mmemuuwa bwana Jacob? na hao wenzako kina nani? na wako wapi?" NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Eddy akabaki kutetemeka tu asijuwe hata ajibu nini. “kwa taarifa yako mlinzi kasema wewe ni mmoja kati ya watu mlioshirikiana kwenye mauwaji haya Nyang'au wee".. akazidi kupigwa makofi hakika nyege za usiku zilimponza. Baada hapo akatolewa na kuletwa mlinzi, “unaitwa nani kijana?" huku akianza kutetemeka mlinzi akajibu “naitwa Kaji Alfani" “tokea uanze kazi ya ulinzi kwa bwana Jacob ni muda gani mpaka sasa…