MTAA WA TATU (2)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (2)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... Kabla ya kukipeleka akajiangalia mara mbilimbili kwenye kioo kikubwa kilichopo kwenye Kabati la nguo. SASA ENDELEA... Akaona kama vile hajapendeza Akavua mavazi yake kisha akajifunga kanga iliyomkaa kisawasawa. Kwa juu akajitanda mtandio mwepesi wenye kuonyesha Maungo yake kwa ndani akajitingisha makalio yake kisha huyo akapeleka msosi Wakati anatoka chumbani kwake kufika ukumbuni, akapishana na binti mwingine kila mmoja akamnyali mwenzake na kuachia msonyo Zulfa akaenda kubisha hodi Sekunde si nyingi mwanaume akafungua na kumkaribisha apite tu ndani Mlango ukafungwa. “kalibu sana kaka yangu",,, Zulfa baada kumkaribisha Hafidhi kile chakula akataka kutoka. “mbona chakula kingi namna hii kwanini tusile wote"..... “hapana wewe kula tu mimi teyali nishakula, Aliongea hivyo Zulfa akiwa amesimama mlangoni, Mwanaume akainuka kutoka kwenye sofa dogo na kumsogelea Zulfa binti mapigo ya moyo yakaanza kwenda kasi. Akashikwa mkono na kukalishwa …