MTAA WA TATU (21)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (21)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA ILIPOISHIA... Joyce akaguna baada kusikia Hafidhi anaitwa Chanduka, sema akanyamaza kimyaa, “unamuona huyu binti?" NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... “ndio namuona kaka si ndio wifi yangu au"... “ndio ni wifi yako huyu anaitwa Joyce Joseph , binafsi ndio atakuwa muangalizi wako kuanzia leo hii utaenda kuishi nae huko mtaa wa tatu , Hutoweza kupata shida yeyote" “sawa kaka yangu mimi sina neno nakusikiliza wewe tu, nakutakia kila la Kheri katika kazi nzito iliyoko mbele yako". “Joyce" “abee baby" “huyu ndio Habiba ni binti ambaye kama nilivyokwambia naomba umpende umthamini kuliko unavyo jitham…