MTAA WA TATU (22)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (22)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI ILIPOISHIA... Dhumuni la barua hii ni kutaka kukwambia ya kwamba mimi siitwi Chanduka kama nilivyo jitamburisha kwako mimi Ndio Hafidhi j Ikram. NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Ninae tafutwa na kwa kosa la mauwaji sijui ilikuwaje mkashindwa kunitambua na jana usiku nimeuwa polisi watano kisha nikatoroka na kuja kutimiza ahadi yangu. Mapenzi tuliyofanya ilikuwa kama mwisho wa penzi letu. Ndani ya kiganja changu kuna rist la watu hamsini. Lazima wauwawe idadi itaongezeka iwapo yeyote atakaye thubutu kuingilia Ishu hii. Zuwena pole sana nafanya yote haya kwa ajili ya kufuta machozi ya Habiba, ndani ya watu hao Baba wat…