MTAA WA TATU (23)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (23)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU ILIPOISHIA... Hafidhi akashuka na kuanza kukatiza mitaa sijui kapajuwaje yani kila mtaa kila kichochoro akaingia, Ndani ya gorofa moja hivi mwanaume akaingia na kupandisha ngazi ndani ya chumba kimoja kulikuwa na watu wawili wakibishana mmoja ni mzee wa makamo kwa kukadilia umri wake miaka kama hamsini au stini. NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Mwingine ni binti mdogo tu Mwenye umri wa miaka kama ishillini “kusema kweli binti yangu huyo kijana mimi simuhitaji kabisa na siku nikimuona amekanyaga hapa nitampasua kichwa" “lakini baba yule ndio mpenzi wangu chaguo la moyo wangu" “shatapu funga bakuri lako mwana…