MTAA WA TATU (24)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE ILIPOISHIA... FBI wenyewe wakabaki hoi washauwa Laiya kama saba wengine tisa majeruhi. Sema hawakutaka kuachwa kizembe ilikuwa mkimbize mkimbize mpaka hospitali ya muhimbili . NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Hafidhi nae alikuwa makini katika kuwakimbia FBI ghafla Mwanaume akapotea kwenye mazingira ya kutatanisha, polisi wakabaki kuzunguka kila kona mtu hayupo, “huyu mtu au jini aisee mbona huku hakuna njia kabisa kapitia wapi huyu nyau?" Afande mmoja akauliza na kupiga ngumi ukuta. “dahaa huyu kijana kusema kweli sio wa kawaida kabisa, yani hafananii na mambo anayo yafanya kudadeki" Afande mwingine akasema hiv…