MTAA WA TATU (25)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO ILIPOISHIA... “Wee mtoto shika adabu yako kabisa umetuona sisi mazuzu sio tumekuja hapa muda tu tupo kwenye foreni wewe unakujakuja na p***mbu zako hizo eti uwai kukinga Kama una simamisha hata sisi wanawake tunadindisha pia au nikuonyeshe kama nimesimamisha" NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Watu wakaanza kucheka Hahahahaha Jamaa si akapaniki na kujiroga kwenda kumkunja yule mama ikawa balaa yani wanawake wote waliokuwa bombani wakamchangia ilikuwa piga Hafidhi nae alikuwa kashajianda kwenda kumfunza adabu sema ikabidi Akaushe baada kuona jamaa wanawake tu wanamtoa jasho, Basi alipigwa vibaya mno mpaka mjumbe wa…