MTAA WA TATU (26)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA ILIPOISHIA... Basi alianza kuikuna zipu kama anakuna ngozi ya mtu kushuka mpaka chini na kupandisha juu,hapo Hafidhi aliisoma namba,alisisimka mpaka kwenye kiuno,alijihisi kama kuna mtu anamrusha juu na kumrudisha chini NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... “Pametuna jamani,sijui umeficha nini? kitamu,kwasababu watu wanafichaga vitamu tu Mwajuma akasema hivyo. Kwa sauti ya kimahaba ambayo hata ungekuwa nje ya Mlango wa chumba hicho ungesikia, ungejua tu kuna mtu anaelekea kusuguliwa. Maana maneno ya Bibiye yalikuwa utamu raha. Matendo yalikuwa utamu Akaanza kukitafuta kile kidude cha kufungulia zipu,ambapo alipokipa…