MTAA WA TATU (27)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA ILIPOISHIA... Hata sijui hivyo vitu kanunua muda gani Akatoa mavazi meusi na kuvaa kisha akafungua begi na kutoa visu na star Yani zile nyota kisha akatoka nnje sijui usiku ule wa manane mwanaume anaenda wapi NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Kwanza alikuwa yuko faster kwa kutembea akafika sehemu moja hivi parking ya magari kama kawaida yake akaiba pikipiki na kuondoka kwa speed huku akiacha vilio kwa walinzi, Ndoto ilikuwa imemzindua Mwanaume na hiyo safari ndio mwanzo wa kuuwa tu, Njia panda ya Ubungo yeye akiwa anatokea Mabibo hostel akakunja kuifata barabara ya Mwenge Usiku huo magari na pikipiki sijui bajaji zilion…