MTAA WA TATU (28)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (28)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE ILIPOISHIA... Yusra nae akafanya hivyo ndio kwaanza wanaingia nchini na kukalibishwa kwa chai ya kikubwa, ndani ya nnje kidogo ya jiji ikawa balaa Hafidhi akiwa ndani ya pikipiki NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Akicheki nyuma kuna gari aina ya Vogue inakuja kwa speed ya ajabu. Nae hakuwa na jinsi ni kuzidisha kasi ya pikipiki sema ilikuwa cha mtoto tu sema Mwanaume akakaza tu ilikuwa mkimbize mkimbize mpaka wanaingia pande za Kimara suka “Yusra mpige kitu cha moto huyo kenge" Yusra nae akachomoza kichwa kabla ajafyatua risasi Hafidhi akakunja na kuingia kwenye mitaa fulani hivi akienda kijiweni kwa speed ileile…