MTAA WA TATU (30)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA THELATHINI ILIPOISHIA... Dereva akatoa sauti ya kilio baada kupigwa ngumi nzito ya mdomo aache kuchonga Damu zikamtoka kabla hajakaa sawa akasindikizwa na teke akaenda chini hakika kakutana na chuma cha pua akaitaji kujibu mapigo akainuka na kurusha ngumi mbili tatu akadakwa na kupigwa kichwa kitu kikalia tihii kule NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Ndani ya gari ile kulikuwa na mabinti watatu hapa namzungumzia bibiye Mariam - Yusra - Vivian. Wao walikuwa kimyaa wakitizama jinsi dereva wao akipewa kichapo Yusra akataka kushuka, “embu tulia mama niende mimi huyu mtu anaonekana yuko juu zaidi yako, Mariam akashuka na kumfata Boyka wakati …