MTAA WA TATU (4)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA NNE ILIPOISHIA... “Hivi wewe Bulongo ushaniona mimi wa kunitapeli sio, yani unishike makalio yangu uingize vidole vyako kwenye kitumbua changu kisha ukaniahidi kunipa shilling elfu Kumi tokea siku ile mpaka leo unanikimbia Sasa leo nimekunasa nipe changu".... SASA ENDELEA... Bulongo akabaki kubabaika tu Ukicheki mkewe yuko hapohapo tatizo ni binti mpole sana. “Zay usifanye hivyo umuoni wife yupo hapa bwana".. “ahaaa kumbe unamke ehee sasa kisa kilichokutoa kwa mkeo ukaja chumbani kwangu kunichezea Ulitegemea nini sasa kwa taarifa yako radha ni ileile nipe changu nijikatae Maana patanuka sasa hivi"..... Mke wa Bulongo akainuka na kuingia chumbani kwake, sekunde si nyingi akatoka na pesa akamkabidhi Zay iyo shilling elfu kumi, nae akaipokea huku akisema “una bahati kudadeki zako. malaya wako kakulipia, Yani usingenipa leo ningekubaka mbele ya bwege wako Shenzi zako Malaya wa kiume wee!!! Zay binti mtukutu akaondoka zake huku akiyatikisa Matako…