MTAA WA TATU (7)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (7)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... "Sehemu ipo hapo kwa mbele kidogo sema nimekwita hapa nikwambie kitu hivi wewe ni mgeni ehee"..... NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... "Ndio mama yangu sema sina kamba mguuni" yule mama akacheka na kusema "ndio hauna kamba mguuni. Nimekwita hapa nikwambie kitu kimoja mwanangu' nilikuona jana kwa jinsi ukimpiga Cholo kwa kifupi tu yule kijana wazazi wake ni wachawi wakubwa sana kama usipofanya jambo watakupoteza. Mimi nafahamu kila kitu kuhusu Cholo usione mtu anajiamini kufanya mambo ya ajabu basi tambua kitu kimoja ana siri nzito ndani ya moyo wake"..... Hafidhi akatabasamu na kusema &…