MTAA WA TATU (8)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... "Shukrani sana ndugu yangu hakika nilikuwa mkosaji sana kwa kufanya vitendo vya kishenzi kwa wakazi wa mtaa huu sikujali chochote kile Niliiba nikabaka nikauwa yote ndani ya wakazi wa hapahapa wakija wababe kutoka mtaa wa kwanza au wapili tunakuwa wanyonge"..... NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Hafidhi akauliza "Inamaana mtaa wa kwanza ni zaidi ya huu mtaa wetu?" "ndio kaka sisi tupo doro kabisa japokuwa ubabe wetu ni wenyewe kwa wenyewe Kuna kipindi vijana wa kiume walibakwa mbele ya hadhara tukashindwa kufanya chochote kile. Yani tukajifungia kwenye majumba yetu tukichungulia madirishani, …