MTAA WA TATU (9)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA TISA ILIPOISHIA... "Oyaa huyu Billy blanks katokea wapi mbona anapiga hivi".... Vijana wakaanza kuulizana NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Masikini ya Mungu kijana Jimmy kilichomkuta balaa Yani alishikwa na Hafidhi na kubebwa juu kwa pembeni kidogo kulikuwa na nondo Imechongoka hivi Hafidhi kama Shetani akaenda kumkalisha Jimmy kwenye ile nondo. Yani akapiga kelele moja tu "nakufaa!!! Kisha akawa kimya nondo imezama sehemu ya haja kubwa si balaa hili Sijui kama mzima Nahata akiwa mzima sijui kama ataweza kunya tena. kimbembe kikaja kwa Magoma kujifanya anajuwa kujibu mapigo akarusha ngumi mbili tatu, Mwanaume akakwepa na kums…