MTAA WA TATU (31)

Zephiline F Ezekiel
MTAA WA TATU (31)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA ILIPOISHIA... Kila mmoja akapiga makofi ya pongezi kwa jibu zuri kutoka kwa kijana yule. “Safi sana brother Noely yani umeongea ponti tupu" NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... Wakati wakiwa wanaongea huku wakipata supu, ndipo wakaingia vijana kama wawili hivi wakiwa wameongozana na mtu mmoja wa makamu Hafidhi baada kumuona yule mtu akashtuka alikuwa ni master wake Ambaye ni Dennis basi kila mmoja akatowa salamu na kutafuta benchi la kukaa, “jamani karibuni sana Sehemu ya kukaa ni hii hapa, mama ntilie akawalibisha wateja wake. Nao wakakaa na kuagiza oda zao, “huu ni uzembe wenu nyie hivi wewe Boyka na ujuzi wako …