MTAA WA TATU (32)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI ILIPOISHIA... “Usijali wala nini hili swala nitalifikisha sehemu husika mmh! Samahani unaitwa nani maana nimetokea kukuzoea ghafla pasipo kulifahamu jina lako!" NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... ”Naitwa Richard Jones wengi hupenda kuniita Richi sijui wewe unaitwa nani".... “Mimi naitwa Vivian James ukipenda niite Vivica, kwakifupi ni mwanafunzi kutokea pale mzumbe nachokuwa kozi ya Market and Based Sijui nawe Richi unajihusisha na nini?" :binafsi mimi ni mfanyabiashara wa vipuri vya magari hapa nchini. Ofisi yangu inapatikana karibu kabisa na jengo la shopaz plaza pale Ubungo " Hafidhi akaonge…