MTAA WA TATU (33)
JINA: MTAA WA TATU Mwandishi: Hafidhi J Ikram SEHEMU YA THELATHINI NA TATU ILIPOISHIA... (Are you my sister) habari yako dada yangu?" Sauti upande wapili ikasikika kijana wakiume akisalimia kwa English NIOMBE SAPOTI, BONYEZA TANGAZO LINALOKUJA NA KUJAA KWENYE SIMU YAKO WAKATI UKIFUNGUA SIMULIZI AU LILE LINALOKUWA KATIKATI YA SIMULIZI ZETUKABLA HAUJAIFUNGUA NDANI, PIA KUNA LILE LINAKUJA NA KUNG'ANG'ANIA HAPO CHINI, BONYEZA WALAU MARA 3-4 HIVI HIYO NDIO SAPOTI YAKO KWANGU, TAFADHALI NIPE NGUVU NAKUTEGEMEA SANA MSOMAJI WANGU SASA ENDELEA... (I'm fine my brother) nzuri tu kaka yangu ehee nikusaidie nini nawewe ni nani?" Yusra akaitikia kwa kizungu na kuuliza swali, (my name is Martin Joseph I live in mbezi beach ) jina langu ni Martin Joseph naishi mbezi beach" “mmh! Yusra akaguna na kumuuliza (I'm sorry you I speak with kiswahili) Samahani kwani wewe huwezi kuonge kiswahi?" “naweza sana kwani vipi Dada yangu".... “kumbe unaweza ehee ok niambie nini shida yako Marti…