JAMANI BABA (6)

Zephiline F Ezekiel
JAMANI BABA (6)
JINA: JAMANI BABA Mwandishi: Beka SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... Usiku, muda wa kulala ulifika, Mwaija alitangulia kwenda chumbani lakini alivizia baba yake amekaa sebuleni akapita hapo akiwa na kanga moja tu. Safari hii alimtingishia makusudi wowowo lake ili kumpa ujumbe kwamba wako pamoja. .. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Daaa ! Huyu mtoto ni wa kupangishiwa nyumba, kweli tena. Haiwezekani akawa ananifanyia hivi wakati anajua sina uwezo kwa usiku huu .” Moyoni Masilinde aliamua kwamba , mkewe atakapoingia kulala amzukie chumbani Mwaija . Kwa hiyo aliendelea kuwepo sebuleni huku mkewe naye akiendelea kuwepo jikoni lengo lake mumewe akiingia chumbani tu aende chumbani kwa Mwaija kumpa semina ya mapenzi mapema. Kila alipotokea sebuleni, alimwona mumewe amekaa macho pima ... “Mh ! Huyu naye halali ?” alisema moyoni mama Mwaija. Masilinde naye, kila aliposimama na kuchungulia jikoni, alimwona mkewe bado jikoni .. . “Mh ! Huyu leo vipi kwani? Wenzie tunataka cha kulalia ye…