JAMANI BABA (7)
JINA: JAMANI BABA Mwandishi: Beka SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... “Na mtoto wake ?” “Ndiyo.” “Ambaye si wa kumzaa wewe?” “Si wa kumzaa mimi. Nimemkuta naye .” “Sasa ?” “Anadai talaka, yuko ndani chumbani.” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Hebu mwite. ” Masilinde alikwenda kumwita mkewe , akamwita na Mwaija , wote wakajaa sebuleni ... “Mama pole sana ,” mzee Kimanama alimwambia mama Mwaija . “Asante , ila mimi nataka talaka yangu tu kama amekwambia kuhusu kumfumania na mwanangu. ” “Ameniambia lakini unakumbuka mwaka huu , mwezi wa pili na wewe ulifumaniwa kule kwa mzee Bakari na yule mzee wa genge la mwembeni, ulimwambia mumeo ?” Asante ila mimi nataka talaka yangu tu kama amekwambia kuhusu kumfumania na mwanangu. ” “Ameniambia lakini unakumbuka mwaka huu , mwezi wa pili na wewe ulifumaniwa kule kwa mzee Bakari na yule mzee wa genge la Mwembeni, ulimwambia mumeo ?” Kitendo cha kusema maneno hayo tu, Masilinde akaona afadhali kwamba naye alipata pa kujitetea kwani hata mke wake a…