UTAMU WA MCHEZO (6)

Zephiline F Ezekiel
UTAMU WA MCHEZO (6)
JINA: UTAMU WA MCHEZO Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... Tulizungumza kwa muda mrefu kisha wakaondoka na kuniasha peke yangu pia rashma alipiga kama hatua kumi akarudi tena kwangu na kumuasha ryotya anatembea. Kwa kunong'oneza akaniambia. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Please genius during holiday nitamuomba uncle uwe unakuja kunifundisha nyumbani" "have you thnk it is possible? "yeah in my side its" "okey utanijulisha, kwenu wapi kwani? Na vipi hamuendi india? "upanga bwana wewe kwenu si masaki? Hatuendi ndio mpaka nimalize four" "ndio, bye bye ona ryotya anakuangalia kwa jicho kali" "hatoke zake, kwaheri giant genius" "aah am not giant genius. I am clifford mario" Niliendlea kucheka mara akapita anita akanikuta natabasamu bado. "hi giant! Mbona unacheka? "mbona nacheka? Wewe inakuhusu nini? Shame upon you black maandazi" *** Ilikuwa alhamisi ambayo nilip…