Notifications
  • MWALIMU MKUU (3)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TATUILIPOISHIA...chausiku alishangaa kuziona zile sale “JAMANI NANI KAKUPA MWANANGUU??!!”aliuliza chausiku kwa mshangao“Kaka juma”alijibu ramekiIKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“Oooh juma jamani mungu akubariki ooooh asante mungu”alitamka mama rameck uku akinua mikono juuRameck alizijalibu zile nguo hakika alipendeza sana adi mama ake alimfagilia kwa vigeregere “jamani juma mungu akuwekee…
  • MWALIMU MKUU (2)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA MBILIILIPOISHIA...“MUNGU WANGU YULE SI MZEE ALINANI???!!!”aliuliza chausiku kwa mshangao chausiku alimuangaria mzee alinani ambae amepoteza furaha yake ya kusomaMzee alinani alikuwa anakuja kuangaria bishala zake pale sokoni kwa kina chausiku.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Mzee alinani alistuka kumuona chausiku alikwepesha macho yake kwa aibu alitoka kwenye soko lile, chausiku alimpitia…
  • MWALIMU MKUU (1)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA KWANZA“MAMA USIFE MAMA NITAISHI VP NA HII MIMBA MAMA”ilikuwa ni sauti ya mdada aitwae chausiku akimwambia mama ake asifee bado anamtegemea mama ake na mimba yakee“CHAUSIKU MWANANGU NAJUA MIMI NDIYO TEGEMEZI LAKOO NILIPAMBANA NA KILIMO ILI USOMEE LAKINI UMECHEZEA SHIRINGI CHOONI MWANANGU UMESHIKA MIMBA BADO MWAKA MMOJA TUU UMALIZE LAKINI NDO IVYO MWANANGU MIMBA NDO ISHAINGIA SINA BUDI KUKUFUKUZA INGALI UKO MOYONI MWANGU NAKUPENDA MWANANGU CHAUSIKUU ILA…
  • THE NIGHTMARE (9)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TISAILIPOISHIA...“mmenifananisha, mimi ndio kwanza naigia ofisini mida hii.” Aliongea yule afande na kuigia kituoni.“sasa aliyekuwa anatuhoji ni nani kama sio huyo?”Alijikuta anajiuliza mwenyewe swali lililompa utata mkubwa kichwani mwake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wakati wakiwa hawajui hili wala lile, walishangaa kuona maaskari wakijazana pale na ambulance ikafika…
  • THE NIGHTMARE (8)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NANEILIPOISHIA...Walipofika feri, walipewa nahodha mwingine tofauti na yule aliyemuota na boti ilikuwa ndogo tu ya kawaida tofauti na ile aliyoiota.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Sharji alijikuta anapiga makelele baada ya kumuona Balqis akiwa amejaa damu mdomoni huku ametoa makucha yake akimfata kwa nia ya kumdhuru.“AAAAAAAAAAAGH”Sharji alipiga kelele na kukurupuka.…
  • THE NIGHTMARE (7)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SABAILIPOISHIA...“kha!!!!”Ulikua mshangao mkubwa kwa watu karibu wote baada ya kumuona Sharji akiwa na taulo akitoka chumbani kwa Balqis.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wengine walicheka na kaka yake alionekana kutoifurahia hali ile.“sasa wewe unatutia wasi wasi bure, si ungesema tu kama unaenda kulala kwa huyu dada?” aliongea kaka yake na kukirudia kile chumba alichompangia…
  • THE NIGHTMARE (6)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SITAILIPOISHIA...“toa loud speaker bwana.”Aliongea Balqis baada ya Sharji kubonyeza kitufe cha kupaza sauti.“kwanini hutaki nisikie maongezi yenu?” aliongea Karimu kwa sauti ya ukali kidogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwani kuna ubaya mimi nikiongea private na mdogo wako?” alijibu Balqis baada ya kuisikia sauti ya Karimu.“hakuna ubaya.” Alijibu Karim kwa sauti ya…
  • THE NIGHTMARE (5)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Alijikuta outomatic akijisemea kwa mshangao baada ya kumuona dada mmoja mrembo mwenye asili ya kiarabu akiingia mule ndani. Hakuvaa ushungi kama alivyowazoea kuwaona waarabu wengi ambao alikutana nao. Huyu alivaa suruali ya jeanz nyeusi na juu akiwa na kikoti chake cheusi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Kati kati kulikua na nguo Fulani nyeupe iliyonakshiwa…
  • THE NIGHTMARE (4)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Aliongea Khalidi na kuufungua mkanda wa suruali yake na kuanza kumtandika Karim.“unanipiga mimi?...utaona!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Aliongea Karim na kuondoka huku analia.*****************************Zilipita wiki mbili bila ya Karim kuonekana nyumbani kwao. Sabra alisikitika kidogo kutokana na kuwapenda sana watoto wake japokuwa huyo mtoto mkubwa hakuwa…
  • Fumanizi la Mchepuko Mwizi😂 | Comedy
    Mume amefuma viatu vya mchepuko wa mke wake mlangoni lakini akakosea kuingia ndani kabla aweke umakini kwenye hivyo viatu mwisho wa siku akaibiwa na vyake😂Hili tukio lazima lichukuchekeshe sana hata kama ulikuwa haujataka kuchekaItazame kisha nipe like na ukinipa maoni kwenye comment nitashukuru sanaUsisahau kubonyeza Subscribe kama haujajiunga na fungua #ChekanaZephiline kupata video zangu zote ambazo zipo mtandaoniNashukuru sana kwa wewe ambaye unanipa nguvu ya kuendelea kuwaletea kazi nzuri…

UTAMU WA MCHEZO (7)

Mwandishi: Micky Mejah

SEHEMU YA SABA
ILIPOISHIA...
Nilipomaliza kuoga nilinyoosha vizuri kanzu yangu nikachukua na suruali yangu nyeusi nikavalia kwa ndani na sendo zangu nilizonunuliwa na dada cleme mwezi mmoja uliopita nazo nilipigilia kwani nilijua fika ukimfatisha dada cleme basi nitamkosa mtoto salha ambye siku ya kesho saa tisa mchana anaöndoka kwenda india huko kurudi mpaka baada ya mwezi.

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

SASA ENDELEA...
Nilijipulizia body spray yangu kisha nikageuka upande wa pili kwenye kioo na kujitazama nikaona kuna kasoro kwenye nywele zangu nikachukua wese nikajipaka kabla ya kupitisha kitana "sasa hapa nipo fit tatizo kutoka hapa yani ndipo lilipo tatizo lakini lazima niende"

Nilipiga hatua kadhaa kabla sijafikia mlango wa chumba changu, nilitazama kitasa kama kilikuwa kigeni kwangu na nilikishka kwa tahadhari kubwa kabla sijakibinya na kufungua mlango taratibu nikapenyeza kichwa kisha kiwiliwili na kurudishia mlango pia kwa mwendo uleule wa taratbu. Hapo nilikuwa natafuta mlango wa nyuma na nikaupata kwa kutumia udhaifu wa sauti ya sebure na mimi nikafungua mlango na kutokea nje sikuwa na muda wa kuremba hapohapo nikamwangilia halipo mlinzi nikajua atakuwa ameenda kutafuta kahawa ngoja nitumie upenyo huu kuondoa ushahdi kwani endapo angekuwepo yeye ningetumia kiswahli kingi ili anielewe.

Wakati natoka nilimuona jimmy jirani yetu yupo na gari nikaona hii ndiyo fursa kwangu kuchomoka ukizingatia gari lenyewe full tinted "inakuwaje jimmy?
"poa niambie mdogo wangu!

"poa kaka unaelekea wapi now?

"naenda msasani"

"naomba lift kaka utaniasha mbelembele nitajua nitaunga unga mpaka nifike safari yangu"

"okey panda twend"

"waenda wapi tena naona umetupia kiostadhi, asalam walekyu?

"naenda hapo kwa mtoto mmoja si unajua tena bro, walekyu mslam"

"upo njema mdogo wangu sema nini sista yupo?

"hehehe mzee huyo anarejea home, nashukuru kaka la sivyo angenikuta njiani"

"kwani haujaaga?

"nimemwambia sista sema sasa si unajua mzee naye mtata haswaa, hivi uliniuliza kuhusu dada cleme aha yupo haende wapi?

"anhaa nimeongea na bro wako clement ananiambia yupo arusha field"

"yeah kaka kama wiki ya pili sasa anatafuta maisha nae"

"naomb namba ya sister basi"

Alinikumbusha jambo kwani nilikumbuka hata simu nilisahau nilipoichomeka chaji ndio hapohapo ila atajua mwenyewe.

"kaka eti ona simu nimesahau ila namb yake ya airtel ninayo kichwani leta nikuandikie"

Alinipa sim yake nikamuandikia kisha nikashangaa anaelekea upanga mahali ambpo nilikuwa nakwenda pia.
"kaka unaenda upanga kwenye kule ubalozini?

"napita ubalozi kuna kitu nafatilia"

"basi niache hapo ubalozini"
***

Baada ya kumpiga mkwara cliff nilirudi kwa wageni nikapiga nao stori mbili kadhaa kabla dadie nae kufika ndipo nilinyanyuka zangu na kwenda kuangalia chakula maana njaa nayo ilinikamata si mchezo maana toka nimekunywa juice saa sita mpaka now sijatia kitu tumboni. Nikiwa jikoni gft nae alikuja.

"dada cleme eti clifford yupo wapi?

"yupo chumbni kwake nimemsema huko kaamua kwenda kulala"

"jamani kwanini sasa?

"sasa saa kumi na mbili hii anataka kwenda wapi nimemkataza asitoke"

"ngoja nikamuamshe"

"amenuna yule mtagombna huko"

"aah ntambebeleza atanielewa"

Nilimuasha akaongèe nae huku mimi nikiendlea na kazi ya kula mara akarudi tena gft "dada hayupo mbona?

"wewe!

"hayupo kweli"

"mh cliff huyu ni mbishi hata aelewi la mtu"
Tulitafuta tafuta na wewe nikagundua mlango wa nyuma umefunguliwa nikajua ni yeye katorokea nyuma nikawasha simu yake kuangalia aliyechat nae mara ya mwisho nikaona salha mahindri nikapiga ile namba. Ilíita muda mrefu bila kupokelewa.

"basi gft ameenda kwa demu wake salha mtoto wa kihndi"

"mböna umenyong'onyea hvyo dada"

"gift ebu niache nina stress zangu"

"stres hzo zimekuja baada ya cliff kuondoka au demu wake kutopokea simu?

"unajua gft nitakuzabua makofi wewe unachukulia easy eti?

"ebu achana na mimi nina stress zangu"

"mh dada cleme hizo stress zimekuja baada ya kugundua cliff kaondoka au demu wake kutopokea simu?

"gift usinisumbue ntakuzaba makofi wewe unachukulia easy tu"

"mh haya dada nisamehe usinizabue makofi dada yangu"

"fyoooooo"

"jamani dada cleme mimi nimekosea nini mpaka unifyonye?

"utajijua mimi naenda kulala maana hapa nishavurugwa, ukitaka kulala ukalale huko chumbni kwa cliff au kile chumba cha tatu cha wageni"

"dada cleme me naogopa kulala peke yangu"

"bwanaeee unanidekia me bwana ako kama hauwezi kesha"

Nilifunga mlango wa chumbani kwangu kwa nguvu nikamuasha dogo gift amesimama anaongea pumba zake "èeh haya makubwa sasa huyu cliff hatatuua wengi hata wewe nawe?" nililinyamazia lile fumbo huku nikiupa nafasi ubongo wangu utafakari lile jambo kwa kina kabla sijalitolea maamuzi.

"wewe gift hilo fumbo unampa nani?

"jamani dada mbona sijaongea neno baya"

"aya wewe ingilia mambo yasiyo kuhusu na ushambenga wako huo utakutokea puani"

Alinitazama yule mtoto hata kabla sijafunga mlango nilisikia sauti ya dadie ikiniita "clementina clementina hey clementina"

"yes dadie am coming/nakuja baba, halafu wewe punguza dharau mdogo wangu bado mdogo wewe"

"hiiii dada cleme jamani"

"nyokooo dada dada toka huko"

Nilijifunga kanga yangu vizuri kisha nikawa naelekea sitting room kwa mwendo wa madaha kidogo huku naashia tabasamu pana.

"yes dadie"

"wageni wanataka kuondoka sasa mtabaki na gift atakuwa anajisomea na mwenzie cliff"

"hamna shida dadie, jamani shangazi hamlali naona muda umeenda"

"aah hapana shangazi tuna majukumu ya kikazi tukichukua likizo basi tutakuja hamna neno"

"sasa cleme ebu muite cliff wageni wana jambo wanataka kumwambia" aliongea dadie.

"dadie cliff ametoka ameenda kwenye sherehe ya rafiki yake kuna muda alikupigia simu ukupokea"

"anhaa ndio ndio nilitingwa lakini huwa sipendi huyu mtoto atembee usiku lakini sawa hamna neno, dada cliff ndo jembe langu nalitegemea sana sana yeye ana masihara kwenye kitabu"

"mmh dadie ina maana mimi na kaka clement sio majembe yako?

"aah nyie mmeshakua namuangalia huyu mdogo wenu kitinda mimba"

Nilitabasamu tabasamu la uongo huku nikijiwazia moyoni "huyu dadie angejua huyo clifford alivyo mshenzi hata asinge mwamini ila siku zote maji ufata mkondo" yalikuwa ni mawazo yangu akaja gift nae nikamkumbatia kana kwamba nampenda sana kumbe mpaka sasa ameshanichefua si mchezo. Tuliwasindikiza wageni na sisi watatu tukarudi ndani.
***

Kaka jimmy aliniasha mitaa ya ubalozi sasa hapo mbele alinieleza salha kuwa pembeni na ubalozi ndipo wanapokaa wao sasa pakanishanganya maana kuna nyumba tatu zimepakana na ubalozi nikapiga hesabu za haraka haraka nikapata jibu, jibu lenyewe lilikuwa ni kwenda kugonga hodi kila nyumba kati ya hizo tatu.

Nilipiga hatua kadhaa nikafika kwenye nyumba ya kwanza nikachungulia getini nikaona watoto wa kihindi wawili yani wa kike na kiume wanacheza folleyball nikajisemea itakuwa ni hapa nikabofya kengele. Wale watoto wakastop kucheza mpira wakaelekeza macho yao getini na wa kike akaanza kuita kwa lugha ya kihindi hapo kwangu ikawa chenga tu. Nilisubiri ndipo wa kiume akaja kufungua mlango.

"hello how are you boy?/hu hali gani mvulana?

"am fine what do you asking for?/unaulizia nini?

"am asking for salha is she around?/namuulizia salha je yupo?

"are you ostadhi or?/wewe ni ostadhi?

"yes i am/ndio ni"

"wow okey get in, she is cooking/wow ingia ndani yeye anapika"

Nilifurahi sana baada ya kujua hapa nimelenga penyewe na shabaha yangu haikupotea bure, niliingia mpaka ndani nyumba ilikuwa nzuri sana huku kuta zikipambwa na picha nyingi nyingi za kuvutia. Nilipita hadi sebureni nikashtuka kuona kuna zuria/carpet la manyoya sebure nzima hapakuwa na kiti zaidi ya tv ya flat iliyokuwa ukutani na dekoda iliyochini yake, home theater basi. Lilikuwa ni jambo geni kwangu ila hapa tayari moyoni mwangu nikajua nimeingia sehemu yenye dini kwelikweli maana kitendo cha kukaa nikaokota kitabu kilikuwa cha mafundisho ya dini ya kiislamu. Dogo yule wa kiume alienda kumuita dada yake na huyu wa kike aliwasha tv na kuweka channel ya cartoon si unajua tena watoto na katuni. Humo ndani kinazungumzwa kihindi na kiingereza labda tuseme kihindi 55%, kiingereza 35%, kiswahili 10% ila nilipenda life style yao tu.

"hey ostadhi karibu jamani hug me please/nikumbatie tafadhari"

Nilinyanyuka fasta fasta unajua tena mtoto kakuashia body nikamuashia na la kwangu tukakumbatia takribani 6minutes kisha akanivuta mpaka jikoni akafunga mlango kisha akaninong'oneza masikioni "usijari kuhusu hao madogo there are don't care/hawajari"

Salha alinivuta mpaka jikoni na kufunga ule mlango kisha akaninong'oneza "usijari kuhusu hao madogo"

"mmh"

"waguna nini sasa kesho me naondoka we fanya kazi ya kuguna upoteze hii bahati na unajua me nikienda india kurudi narudi na wazazi and then nikiingia ndani kutoka shda"

"nimekuelewa hny but vipi sasa kuhusu majirani huwa hawaingii huku?

"si mpaka wafunguliwe geti maana hata wewe ulivyokuja nilikuona nikiwa huku juu"

"poa sasa malizia kupika tuswali"

"hahaha ostadhi unaona biliani inavyopikwa? Unajua au wewe unajua kula tu?

"mh sijui ndo unifundishe maana pale nyumbni me ndo chief cooker/mpishi mkuu"
"mh giant genius wewe unaweza kupika kweli wewe?

"salha umenidharau hvyo me hapa napika kila kitu kasoro hiyo biriani pishi lake sikuwahi kukutana nalo"

Salha aliingia ndani ya kabati akatoa kitabu cha mapishi akafungua hadi page namba 34 akaanza kunionyesha hatua za kuandaa ukitaka kupika biriani nikaona maelezo ni kwa kihindi ila chini palitafsiriwa kwa english nikaona hiki kinafaa kuondoka nacho. Niliendlea kuvumilia harafu na hapo ilikuwa michale ya saa mbili kasoro niliweza kumsikia adhana kwa mbali kidogo ila kwa nyumba yao hawa wanapiga nyimbo za kihindi 24hrs, nilimtazama salha nikatazama uzuri wake na vile nywele ndefu zilizoning'inia mgongoni mtoto model tena hapa kiunoni pameingia ndani na kutengeneza umbo la nane yani ni mweupèee na hii kwangu ilikuwa ni nafasi ya kipekee ya kula tunda tena tunda adimu.

Niliona mikono yangu ikitetemeka maana nilitamani kumshika salha kiuno chake ila nilijawa na uoga kweli ila ile sauti kubwa ya redio sijui tv ilinipa morali na ujasiri wa aina yake nikawa nami sterling wa kihindi suon deo nilisogea taratibu na kufika hadi kisogoni mwake kisha nikashika kiuno kwa mikono miwili mtoto alishtuka akajigeuza kwa mbele tukawa face to face nilitazama macho yake nae akanitazama pia nakumbuka jay rafiki yangu ambaye nae ni mhindi aliwahi kuniambia mwanamke wa kihindi anapokutazama usoni hapo ndipo anapoanza kupata hisia na wewe na kuuona upendo wako kwanzia machoni maana wao hufanya mapenzi kwa hisia sana ila macho ni kiunganishi cha hayo yote kwani anapokutazama anaweza kuhisi upendo wako kwake kupitia macho yako.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
29 Simulizi Utamu wa Mchezo
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni