UTAMU WA MCHEZO (8)
JINA: UTAMU WA MCHEZO Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... Hapo ndipo anapoanza kupata hisia na wewe na kuuona upendo wako kwanzia machoni maana wao hufanya mapenzi kwa hisia sana ila macho ni kiunganishi cha hayo yote kwani anapokutazama anaweza kuhisi upendo wako kwake kupitia macho yako. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nami somo liliniingia na kuruhusu bibie kuyasoma macho yangu na wakati huo nachezea nyonga yake laini hamna mfano, niliona mboni ya macho yake inaanza kufifia na kope zake kufumba na kufumbua huku ishara ya machozi kujaa ndani ya jicho lake na lilipojikusanya lilitengeneza chozi zito lililotelemka taratibu kukatisha kwenye kope za chni na kushuka katikati ya pua kuja kwenye mashavu kuelekea usawa wa kidevu "salha why this au ujapenda? "hapana cliff naona upendo wako kupitia macho yako" "ndo unakufanya utoe machozi? "hapana cliff mimi silii ila nafurahi kuona unanipenda halafu wewe ni mwanaume wa…