BABU G (12)
JINA: BABU G Mwandishi: Eliado Tarimo SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... Akaanza kunilalia lalia mara aninyanyue tuendee tukacheze mziki. Kwa watu ambao walikwa hawatujui ni dhairi kuwa walijua sisis ni wapenzi. Pombe na mziki vikazidi kumchanganya madamu. Wakati huyo yule mwanafunzi ambaye nilichukua namba zake kwenye gari alikuwa akinisumhua sana na kutaka tuoanane usiku huo. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Alinandikia sms nilimweleza yupo wapi kwa sababu yeye tayari amehafanya mbinu za kutoroka hapo shuleni au kambini walipofikia. Nilishangaa lakini niliamua kuzima ile simu maana tayari nilikuwa na uhakika wa kulala na madamu huyo. Kwaa jinsi alivyokuwa anajiachia kwa jinsi alivyokuwa anafanya mambo ya ajabu ni dhairi kuwa lolote lingeweza kutokea usiku huo. Tulicheza musiki tulijiachia kwa jinsi tulivyoweza. Mara madam akaanza kuniambia kuwa nataka kulala. Nikaona hiyo ndo nafasi nzuri ya mimi kwenda kufanya yangu. Tulikokotana huku wote tukiw…