BABU G (14)
JINA: BABU G Mwandishi: Eliado Tarimo SEHEMU YA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... Sikuwa na jinsi zaidi ya kukaa kimya na kumwangalia tu. Na yeye alikuwa akiniangalia tena kwa jicho la hasira. Na mimi niliamua kukomaa kwa kutulia tu na kumwangalia. Nilipanda kitandani na kutulia . Alisimama hapa kama mlingoti kabla na yeye kupanda kitandani. Hakuwa na jinsi ilimlazimu kupanda maana mimi nilikomaa na msimamo wangu kuwa simpi funguo kama mbaya na iwe mbaya. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Usiku huo ulikuwa ni mrefu sana na sikuwa na la kufanya. Nilijaribu kila mbinu lakini kwa kuwa madamu alikomaa na msimamo wake ulishindikana. Kuna kipindi nilikuwa namshikashika ilimradi tu kumpandisha stimu lakini nayo haikusaidia kitu. Hakukuwa na amani ya nafsi. Chumba kiligeuka uwanja wa manyanyaso maana ilikuwa ukimshika huku anageuia huku. Nilisarimu amri na asubuhi ilifika bila kufanikisha chochote. Aliamka akaoga vizuri na kujiandaa na mimi nilifanya hivyo. Hapo ilini…