BABU G (9)
JINA: BABU G Mwandishi: Eliado Tarimo SEHEMU YA TISA ILIPOISHIA... Nilitamani babu G angekuwepo ili niweze kumuuliza maswai yote hayo. Wakati nikiendelea kuwaza na kuwazua nilipata simu ya madam Anitha ambaye alikuw ni mwalimu wa Geogarph kwenye shule hiyo. Baada ya salamu madam huyo alinuliza nipo wapi. Pia aliniuliza kama naweza kwenda kwake. Nilimuheshimu sana madamu huyu kwa maana licha ya mambo mengine pia alikuwa akijiheshimu sana na alikuwa amenizidi kiumri. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Mara nyingi tukiwa ofisin alionesha kunikubali sana na alikuwa akipenda sana kufuatilia stori zangu. Waswahili wanasema usikatae wito bali kataa neno. Huyo niliondoka na kuelekea kwa madamu huyo wa makamo. Nilifika pale nilibisha hodi na sauti ilisikika kwa ndani karibu. Niliingia na nilimuona madamu akiingia bafuni na kuniambia ngoja nioge yeye anakuja. Eeeeh makumbwa nilijisemea huku nikijiba siti na kukaa hapo kwenye sofa. Sikuwa na hofu sana macho yangu y…