MUUZA MAZIWA (1)

Zephiline F Ezekiel
MUUZA MAZIWA (1)
JINA: MUUZA MAZIWA Mwandishi: Gift Kipapa SEHEMU YA KWANZA KWA UFUPI: Kitendo cha Jerry kuharakisha kazini na kupuuzia hisia za mke wake katika hali ya ubaridi ndio kosa lake pekee, ni kwa wakati huo ndipo Lisa mke wa Jerry alipojikuta akivuta hisia za kufanya mapenzi na MUUZA MAZIWA ili walau atoe mshawasha uliokuwa umempanda asubuhi hiyo iliyokuwa na mvua za rasharasha na kibaridi cha kupuliza., Kitendo chake cha kufanya mapenzi na MUUZA MAZIWA lilikuwa kosa lingne tena . Kwani Lisa anakutana na mimkuno ambayo hakuwahi kukutana nayo hata siku moja katika maisha yake, mavituzi hayo yanamdumbukiza Lisa mzima mzima katika dimbwi zito la mapenzi ya MUUZA MAZIWA na kujikuta anasahau yote kuhusu mumewe(Jerry). Ni nini hatma ya penzi hilo jipya na la wizi lililoibuka ghafla kwenye moyo wa Lisa, na vipi kuhusu ndoa yake na Jerry itaweza kudumu kama tayari iimeshaanza kutafunwa na MUUZA MAZIWA? Ungana na GIFT KIPAPA katika chombezo hii ambayo haita kusisimua tu bali pia kujifunza kitu kilichojific…