MUUZA UBUYU (3)
JINA: MUUZA UBUYU Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA TATU ILIPOISHIA... "Asante nawe pia" Nilitabasamu kisha nikawaza mawili matatu "mmh maskini uenda huyu mkaka ananipenda maana kwa haya anayonifanyia ni wazi ananipenda ngoj nimwambie aunty" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nilipata jibu nikamulika kwa mwanga hafifu wa simu nikashangaa sikumuona aunty nikawasha toshi ya simu. Nilitazama ndoo ya kuogea nyuma ya mlango nikagundua ipo labda kam alienda kuoga. Niligeuza shingo kulia kushoto sikuona ishara ya mamb kuwa tofauti nikapata wasiwasi ila nikarejea kulala nikivuta pumzi. ************** Dakika ishirini zilikatika hapo ndo nikachukua hatua nikatoka nje taratibu nikazunguka nyuma ya nyumba hapakuwa na mtu vyumba vya wapangaji kote hapakuwa na dalili ila chumba cha mwisho kuna kaka mmoja bachela anaitwa samson nijajua a atakuwa hapo dirishni kwake nikasimama takribani dakika kumi sikusikia chochote zaidi ya kelele za feni tu na kukoro…