PENZI LA DADA (10)
JINA: PENZI LA DADA Mwandishi: Khamis Kambi SEHEMU YA KUMI ILIPOISHIA... "Tulipofika watoto walifurahi kumuona Coleen " "wakaanza kumuuliza Mama unaumwa"? "coleen akajibu hapana nishapona ilikua ni tumbo tu!" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Watoto wakawa na furaha zaid kusikia hivyo Kesho yake nilienda Ofisini lakini kuliko ilivyokua kawaida nikawa na mawazo ya kufikiria itakuaje mtoto akizaliwa jinsi ya kumtunza marafiki zangu mda wote walinisimulia ugumu wa kua na mtoto haswa wa kwanza kwani Coleen alikua na watoto wawili kwahyo kwake alikua na uzoefu wa kutosha tu! kumtunza mtoto basi ghafla ! ofisini alifika katibu muktasi wangu(secretary) "BOSS mbona leo uko hivyo"? "nilisita lakini alikua mtu wangu wa karibu sana ilinibidi nimwambie Coleen ana mimba" wow JOHN hongera" nilijibu ahsante ila laiti ungejua"! nilijisemea kimoyomoyo mana Coleen kua na mimba haikua tatizo ila tatizo Coleen ni kuwa Coleeen alikua …