PENZI LA DADA (3)
JINA: PENZI LA DADA Mwandishi: Khamis Kambi SEHEMU YA TATU ILIPOISHIA... Basi nikatoka na kwenda kukaa sehem waliyoweka kama ya kupumzikia nikiangalia mazingira ya Brazil huku nikikumbuka ahadi niliyowahi kumuahidi Tayna juu ya kutembelea Brazil nikawa nafikiria kama angekua hai hadi ss tungekua tupo ktk fungate . NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Mawazo ya ujuzi a Tayna kitandani yakanijiaa na kujikuta mashine ikituna kwa hasira kwa njaa ya penzi hadi misuli ikaanza kuniuma kila nikijaribu kupotezea , bado hali ilikua ileile nikaamua. nikaamua ngoja niende chooni nikapige cha faster hapa nilizongwa na maazo mengi kabla cjafika chooni kweli niende nikajichue????? ? nafsi ikasita nikaamua kurudi kitandani na kukaa kwa muda huku njaa ya penzi ikizidi kunitafuna ............... ............... .........nikaam ua bora nitoke nje ya hotel na kutembea mtaani nikachukua peni na karatasi kisha nikamuandikia Coleen kinote ili akiamka ajue nilipoenda nikapanda lift na kushuka chini n…