SEHEMU YA NNE
ILIPOISHIA...
Basi tukaamua kushuka ilikutembea kurudi hotelini kwani tulichokua
tuanataka kwenda kukiangalia kisingewezekana
tena kukiona.
NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU
SASA ENDELEA...
Wakati tupo njiani Coleen
akasema anaona itakua vizuri kama kila mtu
akitembea peke yake kuzunguka mji tukutane
hotelini usiku sikutaka kumbishia.
basi kila mtu akaenda upande wake uzunguka
mitaa mbalimbali hadi majira ya saa 1 usiku
nikaamua kurudi hotelini kutokana na
kutembeea mda mrefu nikawa nimebanwa na
mkojo ikawa nawahi kutembea kuingia hotelini
ili niende nikapunguze oil chafu iliyokua
inanisumbua basi kufika chumba tulichokua
tumepanga kilikua giza ila ckujali nikijua labda
Coleen atakua bado hajarudi nikaingia moja
kwa moja kuelekea chooni huku navua suruali
ili niwahi ile nafungua mlango nikakutana uso
kwa uso na Coleen akiwa hana hata nguo
amejilaza ktk sehemu ya kuogea baada ya
kumuona tu pale pale muhogo wangu
ukasimama huku ukiwa unaonekana kwani
nilishautoa nje kujiandaa kukojoa.....
baada ya kukutana uso kwa uso na
Coleen nikiwa nimeshika mhogo wangu
mkononi na ulikua umesimama vilivyo licha ya
kua niliyemuona alikua dadaangu lakini uzuri
wake akiwa yupo kama alivyozaliwa
ulinichanganya sana maziwa yake yalikua
yamesimama vilivyo kama msichana , ambae
bado hajawahi kushikwa na mwanaume licha
ya kua tayari Coleen alikua na watoto wawli
lakini aliweza kujitunza vilivyo. dakika ilipita
nikiwa nimesimama nisijue cha kufanya kama
nitoke au niendelee kubaki huku Coleen nae
akiwa hajui ajizibe wapi kwani yy alikua hana
nguo hata moja, mwishowe fahamu zikawa
zimenirudia nikaamua kutoka bila kusema
chochote huku nikiwa naisuta nafsi yangu kwa
kilichotokea kwani nilishindwa kutoka haraka
na nilionyesha kumtamani vilivyo wakat alikua
ni dadaangu niliamua kutoka moja kwa moja
hadi nje ya hotel ambapo nilitafta bar ndogo
isiyo na kelele ili niweze kunywa angalau
nipunguze mawazo huku nikizani hyo ndio njia
pekee ya kupunguza mawazo.
baada ya kuingia bar niliagiza heinken na
mhudumu aliniletea haraka nikaanza kunywa
taratibu huku picha ya kilichotokea ikiendelea
kunisumbua akilini nilikumbuka jinsi Coleen
alivyoumbika ingawa haikua mara yangu ya
kwanza, kumuona vile lakini wakati namuona
bado alikua msichana mdogo lakini sasa alikua
akivutia maradufu ya kipindi nilichomuona
miliendelea kunywa lakini kadri nilivyoendelea
nkunywa ndivyo mawazo yakazidi kunipata
mwishowe nikaamua kuacha ili nilijee hotelini
nikaongea na Coleen juu ya kilichotokea kua
sikuzamilia wakati narejea kuelekea hotelini
niliomba mungu angalau Coleen asahau
kilichotokea huku nikikumbuka style ya wakati
nipo mdogo kua wakati unataka mtu asahau
kilichotokea unabana meno na atasahau licha
kua nilikua mtu mzima nilifanya hivyohivyo ili
mradi tu coleen asahau kilichotokea nilifika
moja kwa moja hadi hotelini sikutaka hata
kutumia lift ili nisifike haraka nikaanza
kupanda ngazi, kuelekea juu kwenye chumba
tulichopanga mimi na Coleen nilitembea
taratibu kuliko kawaida lakini licha ya kua
nilikua natembea taratibu sana lakini
mwishowe nilifika huku nikiwa natetemeka
nikihofia dadaangu atakichukuliaje kitendo
kama kile nilishika kadi na kuichomeka
mlangoni kisha mlango ukafunguka nikaingia
ndani.
nikamkuta Coleen kakaa akiwa anaangalia Tv
nilipita moja kwa moja hadi alipokaa
nikamsalimia kisha nikakaa kwenye kiti huku
nikiwa sijui nianzie wapi lakini mwishowe,
nikaanza kumwambia Coleen samahani kwa
kilichoyokea sikuzamilia Coleen akaniangalia
kisha akasema " usijali ni kawaida na
haukuzamilia kwahyo haina tatzo mm
nimeichukulia kama bahati mbaya"
angalau kusikia maneno hayo kidogo yalinipa
moyo na baada ya maongezi marefu tukaanza
stori nyingine bila kujua, tulicheka na kufurahi
mda wote kwani tulikua tukikumbushana
mambo ya zamani9 wakati tupo wadogo baada
kama masaa mawili Coleen alipitiwa na
usingizi akalala nami nikaona sina la kufanya
nikapanda kitandani na kulala. Wakati nipo
usingizini picha ya Coleen iliendelea
kunisumbua akilini hamu ya kutaka kumuona
tena ikanijia
kila nikijitahidi kupotezea nikashindwa
mwishowe nikaamua kuamka na kwenda
alipolala Coleen na kutaka kufunua gauni
aliyovaa ili niweze kumuona tena..
nilifika alipolala Coleen na kumuangalia
huku mapigo ya moyo yakiongezeka speed
kutokana na hofu licha ya kuwa nilikua na
hamu ya kumuona tena Coleen lakini nilijua
wazi ninachokifanya hakikua kizuri na endapo
Coleen akishtuka, cjui atachukua uamuzi gani
lakini kufikilia hayo yote nguvu ya ibilisi ilikua
kubwa kwani licha ya kujua madhala yote hayo
nikapotezea na kutaka kutimiza azma yangu.
nilianza kushika gauni la Coleen ambalo ni
jepesi maalum kwa kulalia huku jasho
jembamba likinitoka hadi katika vidole mwili
wote ukawa baridi kama nimepigwa sindano ya
ganzi nilishika taratibu hadi nikafanikiwa
kuona ziwa lake la kushoto nilitamani kulishika
lakini hofu ikawa anaweza kuamka alafu ikawa
ni aibu kubwa kwangu akiona nilitaka
kumfanyia kitu kama kile, nikaamua kuacha
kushika na kufunua upande wa pili ili niweze
kuona maziwa yote mawili wakati naanza
kufunua upande wa pili ghafla Coleen akaanza
kugeuka niligeuza haraka haraka na kwenda
kitandani kwangu na kujifanya nimelala huku
jicho moja nikiangalia kama Coleen ataamka
moja kwa moja lakini hakuamka na kuendelea
kujigeuza mwishowe akatulia nikagundua
itakua ameendelea kulala lakini hofu kwangu
ikawa kubwa kuliko kawaida .....
nikaamua kujilaza ingawa nilijua kwa mawazo
niliyonayo nisingeweza kulala huku
nikimmkumbuka Coleen na mambo yaliyotokea
huku nikijilaumu pia kwa kitendo nilichotaka
kufanya nilijihisi nilikua mkosaji sana kwa
dadaangu ambae kaacha kazi zake ilimradi tu
anisaidie mm na matatizo niliyokua nayo
wakati nafikilia hayo nikakumbuka kumbe sikua
iliyofuata ndio ilikua siku ya mm na Coleen
kurejea nyumbani kwani mda tuliopanga kukaa
Rio de jeneiro ulikua umeisha nilitamani,
kuendelea kubaki kwani ingawa nilijua tukirudi
America nitahamia kwa Coleen lakini nilijua
ctaweza kupata nafac ya kulala nae chumba
kimoja kama ilivyokua ss hlo lilinifanya nikose
usingizi kabisa, nikajikuta nazidi kumfikilia
Coleen kivingine tofauti na dada nikajihisi
nampenda Coleen kimapenzi zaidi ya dada ila
bado nikawa sina uhakika kama nampenda
kweli au namtamani kwa jinsi alivyoumbika hilo
pia likawa linasumbua kichwa changu,....
nilikaa macho hadi asubuhi bila kulala Coleen
alipoamka akagundua hlo lakini akatania kwa
kusema "ulikua unaota safari au mbna
unaonekana haujalala hata kidogo"!
nikamwambia "natamani kurudi kazini ndio
mana"
akacheka kwani alijua kabisa nilidanganya
Coleen akaingia kuoga alipotoka akaniambia
"ndege inaondoka saa 6 mchana kwahyo
jiandae kwani tunatakiwa kufika mapema"
sheria za viwanja vya ndege unatakiwa kufika
lisaa limoja kabla ya mda uliopangwa ili
kuwahi kupita vizuizi haraka na usichelewe
kupanda ndege.
hilo hata mm nililitambua kwahyo Coleen
aliponiambia nijiandae ckubisha nikaamka na
kwenda kwenda kujiandaa nilipotoka nilikua
tayali nishavaa nikamkuta Coleen kavaa gauni
jekundu refu lililompendeza kupita kiasi
nikajikuta nimebaki mdomo wazi nisijue la
kusema zaidi ya wow!
Coleen akaniangalia na kusema "nimelinunua
hapa hapa siku ile tulipotembea kila mtu
kivyake"
do i look great?(akimaanisha je nimependeza)
nikasema ndio umpendeza sana
Coleen akasema
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI
KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
Email: ZephilineEzekiel@Gmail.Com