PENZI LA DADA (5)
JINA: PENZI LA DADA Mwandishi: Khamis Kambi SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... Do i look great?(akimaanisha je nimependeza) nikasema ndio umpendeza sana Coleen akasema NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Ahsante" Basi tukaanza kufunga mabag yetu na kuanza kutembea kuelekea kweny mgahawa uliokua hapo hotelini ili tuweze kupata kifungua kinywa kabla ya kuanza safari...... tulipokua mgahawani macho yangu hayakusita kuenjoy uzuri wa Coleen nilimuangalia kuanzia juu hadi chini kila nilipopata nafasi nilijikuta nasahau hata kunywa chai Coleen akiwa anakaribia kumaliza mm ndio naanza Coleen akaniuliza "hautaki kuondoka Rio au mbna tangu jana hauko sawa ?" nikamuangaliabila kujibu kitu kwani huku nikijisemea moyoni laiti ungejua ww ndio unatesa mawazo yangu usingesema hivyo! baada ya dk 40 ilikua tayali nishamaliza kunywa chai tukaanza safari ya kuelekea airport nikiwa njiani nikapigaa simu kwa watu niliowapa kazi ya kuhamisha vitu vyangu kuvipeleka mji anaokaa Colee…