POLEPOLE MPENZI (1)

Zephiline F Ezekiel
POLEPOLE MPENZI (1)
JINA: POLEPOLE MPENZI Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa ni tafrija ya Suzan mtoto pekee wa Bwana George Suleman aliyehitimu masomo yake ya shashada ya Sheria,hivyo wakiwa kama familia yeye na mkewe waliamua kumfanyia tafrija ndogo hapo nyumbani kwao,ili kupendezesha Tafrija hiyo Bwana George Suleman aliwaalika ndugu na jamaa zake wa karibu ambao kwa heshima na taadhima walihudhuria wote bila kukosa Kama unavyojua Tafrija za matajiri NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU Vinywaji vilikuwa vya kutosha na vyakula vya kusaza vilivyokuwa mara mbili ya idadi ya watu waliohudhuria,kati kati ya Tafrija Bwana George alisimama na kuongea maneno machache ya heshima akiwashukuru wote waliohudhuria kisha alipomaliza kuongea alimkaribisha mwanaye kipenzi Suzan ambaye naye aliongea maneno machache yaliyowakilisha furaha yake kubwa ya moyoni Nelson ni kijana mmoja wapo aliyepata kuhudhuria kwenye Tafrija hiyo ambapo ukimlinganisha na watu wengine waliohudhuria hapo naw…

Maoni 2

  1. Unknown
    Weka stori za eddy ngumi kidogo na mapenzi zote zilizopo ni mapenz tu
    1. Zephiline F Ezekiel
      Usijali acha iishe hii nakuwekea za mikasa na mapigano, ahsante kwa ushauri wako