POLEPOLE MPENZI (2)

Zephiline F Ezekiel
POLEPOLE MPENZI (2)
JINA: POLEPOLE MPENZI Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... Baada ya kumkosa kweny emchanganyiko wa watu,alianza kuzungukia kwenye maeneo yaliyotawaliwa na giza,tochi yake ilipomulika kwenye kona Fulani,,,aaaah,,we jamaa vipi bwana?,,aliongea Nelson huku akionyesha kukerwa na kitendo hiko cha kumulikwa na mwanga wa Tochi,,,samahani Bosi kuna mtu namtafuta,,,aliongea hivyo Mlinzi huyo na kuzima mwanga wa Tochi yake NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nelson alitoka akiwa peke yake na kurudi kwenye Tafrija pale alipokaa mwanzoni,,, Mlinzi Mayunga,baada ya kuondoka Nelson alirejea na Tochi yake kisha akamulika tena pale kwenye kona alipomkuta Nelson,akasogea mpaka kwa karibu,japo palikuwa na harufu ya manukato ambayo Suzan alijipulizia siku hiyo,lakini ile harufu ya ndege kuliwa ilikuwepo kwa mbali,macho yake yaliyokuwa makini yalipoendelea kukagua eneo hilo yaliona bangili ya mkononi na Pochi vikiwa vimedondoka chini,,, Hii bangili inafana…