POLEPOLE MPENZI (5)
JINA: POLEPOLE MPENZI Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... Lakini mashoga zangu bwana,tukienda mbele tukirudi nyuma,mtu ukimpenda kwa dhati huwezi kumsaliti hata kama awe na kasoro gani,huo ndio ukweli!,,, ,,,,,we! we! we! weweeeee!,,we unaongea kwasababu unaridhishwa vizuri kitandani,lakini dume lako lingekuwa linakuacha na shombo we mwenyewe ungefikiria kutoka nje NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Huyu naye si anafurahisha mdomo wake tu,mwanaume asipokushughulikia kitandani vizuri ni hewa huyo!,,ngoja nikuulize kitu kimoja wewe uliyetamka upendo wa kweli,hivi unaweza ukaolewa na mwanaume halafu usiupate utamu wa kumwaga mpaka unakufa kisa upendo wa kweli,funguka wewe acha ulokole wako kwenye mambo ya gwaride la kitandani,,, ,,,,hamna,kama hajui utamfundisha tu mpaka ajue na unaishi naye vizuri,embu fikirieni na nyie,mwanaume utakayempata ambaye anajua kukuridhisha kitandani,ni wanawake wangapi anafanya nao,au unafikiri utakuwa wewe …