POLEPOLE MPENZI (6)
JINA: POLEPOLE MPENZI Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... Siku hiyo Adrian alichelewa kufika,mpaka unafika muda wa kucheza muziki,kila mtu akiwa kati na mwenzake,kuna kijana mmoja alinifuata na kuniomba tucheze,kiukweli nikainuka na kuanza kucheza naye,lakini nikajikuta namruhusu anishike ambapo nami nilianza kupata hamu ya kufanya mapenzi ukizingatia ni muda mrefu sikufanya mapenzi na Adrian NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Kiukweli siku ile nikafanya na yule kijana,alinibana kwenye ukuta kisha tukamaliza mambo pale pale,,, ,,,,mmh,sawa hapo umekosea lakini kinachokuchanganya ni nini kwenye hilo,Adrian amegundua?,,, ,,,Hapana hajajua,ila kiukweli huyu kijana alinifanyia kitu ambacho sijawahi kufanyiwa tangu nayajua mapenzi,,, ,,,usiniambie kama ulimwaga?,,, ,,,ndio,tena kwa muda mfupi tu!,,,lakini simpendi kutoka moyoni,,, ,,,usijali rafiki yangu,hayo ni mbambo ya kawaida ukiwa kama mwanamke, ninachokushauri, huyu jamaa achana naye…