UTAMU WA JIRANI (11)
JINA: UTAMU WA JIRANI Mwandishi: Dismas Godfrey SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... Hiace ile niliyopanda haikuchukua mda mrefu ikawa imeshafika kituo ambacho nilitakiwa kushuka nilimlipa nauli kondakta wa hiace ile kisha nikaangaza huku na kule kama kunagari barabarani nilipohakikisha hakuna gari nikavuka kuelekea upande wa pili. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Kwa mwendo wa taratibu nilikatisha mitaa na kutokea nyumba ambayo nilikuwa ninakaa nyumba ilikuwa kimya sana kwa mda huo kwani wengi wa wapangaji walikuwa wamekwenda makazini kwa mda huo nilifungua mlango na kupitiliza hadi kitanda ni huku kila hatua niliyokuwa naipiga nilikuwa navua shati langu kwani nilihisi chumba kilikuwa na joto kari kwa mda huo usingizi haukuwa mbali sana kwani pale nilipoweka mgongo wangu kitandani nao ukawa juu yangu hivyo ukafanikiwa kuniteka na kujikuta nikianza kukoroma kwa fujo usingizi ulizidi kuniweka katika himaya yake hata pendo alipoingia chumbani kwangu sikuwez…