UTAMU WA JIRANI (15)
JINA: UTAMU WA JIRANI Mwandishi: Dismas Godfrey SEHEMU YA KUMI NA TANO ILIPOISHIA... "Haikuchukua muda mrefu sana tangu tutoke hospital ya Nyakahoja tukawa tumeshafika nyumbani leo nitaingia mwenyewe jikoni" nilimwambia precious kisha nikamuachia busu kwenye paji lake la uso na kuingia jikoni ambapo nilipanga kupika mtori wa nyama kama alivyokuwa akitaka. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Baada ya kutoka pale sebuleni nikaingia jikoni na kuanza kuandaa mtori kwa kuanza kuzichemsha nyama mpaka zikaiva kipindi hicho nilikuwa nimesha menya ndizi na nyanya hivyo baada ya nyama kuiva nikaanza rasmi kupika hadi nikamaliza na kuandaa chakula mezani kisha nikaenda kumuita precious ambae alikuwa ameshapitiwa na usingizi nikamuamsha na ndani ya dakika chache akawa amekwisha amka na kuelekea nae mezani na kuanza kula alfu babe kuna jambo nataka kukueleza" mmmhuuu"nilimwitikia huku nikipeleka kijiko mdomoni na kusababisha nitoe sauti kubwa kiasi nim…