UTAMU WA JIRANI (3)
JINA: UTAMU WA JIRANI Mwandishi: Dismas Godfrey SEHEMU YA TATU ILIPOISHIA... Manager alionekana kuchanganyikiwa zaidi na mimi kwani nikiwa katika hali ya kufikilia yeye alinyanyuka kutoka pale kitini na kuja kukaa kwenye pembe moja ya meza ofisini kwake na kuacha sehemu kubwa wazi kwenye mapaja yake meupe yaliyonona na kuvutia Ukimya ulipita si mimi wala manager aliyekuwa akisikika a kiongea kwa mda huo. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Ukimya ule haukudumu sana kwani manager alivyoniona nimekaa kimya wala sikua nikiongea akanyanyuka na kuanza kunisogelea pale nilipokuwepo kisha akanyanyua mikono yake na kuanza kuipisha mwilini mwangu taratibu huku akianza kuuleta mdomo wake kwangu kwa nia ya kubadilishana mate mapigo ya moyo yalizidi kuongezeka huku maswali ya nikubali au nikatae yakiendelea kuniumiza kichwa kwa mda huo mitego ya manager iliendelea kunikamata hasa pale alipoanza kuupitisha mkono wake katika kifua changu hali iliyoleta mtafaruku kwenye …