UTAMU WA JIRANI (4)

Zephiline F Ezekiel
UTAMU WA JIRANI (4)
JINA: UTAMU WA JIRANI Mwandishi: Dismas Godfrey SEHEMU YA NNE ILIPOISHIA... Safari ile haikuchukua mda mrefu sana kwani ndani ya dakika kumi na tano nilikuwa nipo mlangoni kwangu nikifungua kitasa huku dereva wa tax akiangaika kugeuza gari lake kurudi kijiweni kwake. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Huuuu" nilishusha pumzi ndefu baada ya kubonyeza kitufe cha kuwasha taa kisha nikaanza kuvua vest yangu na nilipomaliza nikawasha tv yangu na deki pia kisha nikaweka cd yangu ya pilau na kuanza kuiangalia umesharudi"ilikuwa nimeseji aliyotuma witi punde nilipofika ndio" umekuja na wifi" wifi ni wewe mwenyewe" mmmmh nakuja" poa usiuweke si unaona mda ulivyoenda" usijari"alimalizia witi hazikupita dakika nyingi tangu atume msg nikasikia mlango wangu ukigongwa kwa mbali nikanyanyuka pale kitini na kwenda kufungua mlango " mmmmh nilijikuta nikiguna baada ya kumuona witi jinsi alivyovaa usiku huo kwani alivyaa kipens kifupi …