UTAMU WA JIRANI (5)
JINA: UTAMU WA JIRANI Mwandishi: Dismas Godfrey SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... Sikutaka kuchelewa nikatoa kichwa changu nje taratibu na kuchungulia nje macho yangu yalishuhudia kumuona mama mwenyenyumba akinipa ishara ya mkono kuwa nifanye haraka kumpeleka witi nami nikatii kwa kutikisa kichwa kisha nikarudi ndani na kumbeba witi ambae nilimlaza kwenye kochi moja la chumbani kwangu wakati huo nilikwisha mvalisha nguo zake na mimi nikivaa pens yangu na vest nyeusi. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nilimbeba witi kama mtoto kisha nikaanza kumtoa pale chumbani kwangu kwa harakaharaka hadi chumbani kwake na kumlaza kitandani kwake kisha nikatoka na kwenda chumbani kwangu kwa mwendo wa harakaharaka huku nikimshuhudia mama mwenyenyumba akinikazia macho yenye ujumbe wa nifanye haraka kuingia chumbani kwangu, Niliingia chumbani kwangu kisha nikajibanza mlangoni kwangu kushuhudia kama witi atanyanyuka au laah kwani wakati nilipokuwa nimembeba alikuwa amefumbua ma…