SEHEMU YA SABA
ILIPOISHIA...
Niliinama na kuchukua bukta yangu kisha nikaanza kuiweka mwilini mwangu huku nikimpongeza kasuku wangu kwa kutoa dozi iliyokuwa inamchanganya kila mwanamke anaekutana na mjeredi huo
baada ya kumaliza kuvaa bukta ile ndipo nilipokumbuka kuwa sikutia chochote tumboni mwangu
nikatupa macho yangu ukutani ili kujua ni saa ngapi nikabaki nimeduwaa baada ya kutambua mda huo ni saa nne usiku.
NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU
SASA ENDELEA...
Njaa iliyokuwa inaanza mashambulizi taratibu mda huo ilizidisha mashambulizi yake tumboni na kunilazimu nitoke pale chumbani kwa haraka niende kutafuta chakula japo nilijua mda huo sehemu nyingi za kuuza vyakula zitakuwa zimefungwa lakini kutokana na njaa ile ikanibidi nishike njia kutafuta chakula japo mda ulikuwa umeenda sana
nikaanza kutembea kwa harakaharaka nikielekea kwenye mgahawa mmoja ambao unachelewa sana kufungwa na ndipo nilipoweka oda mchana japo sikwenda kufata chakula kile
mwendo wa harakaharaka nilioutumia mda huo uliifanya safari ile kuwa nyepesi sana kwani hazikupita dakika nyingi nikawa nimeshawasili pale mgahawani
kufuri kubwa ilikuwa pale mlangoni ni utambulisho tosha kuwa hudumu za chakula zilikuwa zimeisha kwa siku hiyo,
miungurumo ya tumbo iliendelea kuleta taarifa kuwa tumboni mwangu hakukuwa na kitu
kwa mwendo wa taratibu nikaanza kuhesabu hatua kuludi nyumbani huku njaa kali ikiendelea kunipa wakati mgumu sana
hakuna baunsa kwenye njaa ni msemo ambao nilianza kuona maana yake siku hiyo kwani njaa ile iliyoambatana na nguvu kubwa niliyoitumia kwenye mchezo ule ilinipa wakati mgumu zaidi
nililudi chumbani kwangu na kujitupa kochini huku nikiwaza usiku wa siku hiyo utakuwa mrefu sana kwakuwa sijaweka chochote tumboni mwangu
nilijitandaza kochini huku nikisikilizia miungurumo ya njaa ile kali isiyokuwa na huruma
ama kweli tumbo haliriziki hata ule nini
nilianza kuutafuta usingizi japo kwa shida sana huku nikijipa moyo mara kadhaa
kwa masaa kadhaa niliyokuwa najibembeleza pale kitandani hatimae nikapitiwa na usingizi japo ulikuwa wa mang'amung'amu ila nilijitahidi kupambana nao
sikumbuki nilipitiwa na usingizi na mda gani ila nilikuja kusituka baada ya mwanga mkali wa jua uliopenya dirishani kunimulika usoni
nilinyanyuka kiuvivu hadi pale dirishani huku nikitoa misonyo ya kulaani uwepo wa jua kwa mda huo
baada ya kuhakikisha nimerudisha lile pazia vizuli na hakuna mwanga unaopenya tena nikarudi pale kitandani na kujiraza tena kitandani
ule usemi wa bahati haiji marambili ndio niliuamini kwa mda huo kwani ile bahati ya kupata usingizi jana yake tena nikiwa na njaa haikujirudia tena zaidi niliendelea kujigaragaza pale kitandani huku njaa ikianza kujirudia kwa nguvu
harakahara nikatoka pale kitandani na kuelekea kwenye kopo langu la kuifadhia mswaki na dawa nikachukua mswaki niliopanga kuutumia siku hiyo kisha nikaiweka dawa ile ya meno alafu nikachota maji kwenye kopo kisha nikazunguka nyuma ya bafu na kuanza kuswaki huku njaa ile ikianza kuleta mtafuruku tumboni mwangu
nilipiga mswaki ule kwa haraka nikiwa na dhumuni la kutaka kuwahi chai kwa mama ntilie japo mda ulikuwa bado wa kumaliza chakula
hazikuchukua dakika nyingi nikawa nimeshamaliza kupiga mswaki taratibu nikaanza kupiga hatua kurudi chumbani mwangu
nilipata kushangaa kiasi baada ya kuona chumba cha mama mwenye nyumba kikiwa kimefungwa kwa kufuri kubwa
mmh yani huyu mama muoga sana mechi kari niliyompa imemfanya hadi asafiri bila kuni taarifu "niliongea kwa sauti ya chini huku nikitikisa kichwa na kuchanua tabasamu pana.....
niliingia chumbani kisha nikaweka lile kopo mahala pake kisha nikatoka kuelekea mgahawani
hatua za harakaharaka nikazidi kuzipiga kwani nilijua kama nitachelewa supu bhasi siku haitakuwa sawa kwa upande kutokana na kupoteza mafuta kwa kiasi kikubwa kwa vitendo nilivyokuwa nafanya kwa siku kadhaa zilizopita
supu ipo?"nilimuuliza mmoja wa wahudumu wa mgahawa ule huku macho yangu yakiangaza huku na kule kutafuta sehemu ya kukaa kwani kwa mda huo watu wengi walijazana pale mgahawani
katika hali ya kuangaza huku na kule mgahawani pale macho yangu yakatua kwenye meza moja ambayo kulikuwa na msichana akinywa supu taratibu huku maramojamoja akiwa anajibu msg zilizokuwa zinaingia kwenye simu yake
ngoja nikakae pale"nilijiapiza kimoyomoyo kisha nikaanza kuhesabu hatua ambazo hazikuwa jasiri hadi pale mezani
mmmh mmmh"nilijikohoza huku nikimwangalia yule dada kama atanyanyua sura yake kuniangalia kwani mda wote alikuwa ameinama
za asubuhi dada"nilimuongelesha yule dada lakini hakuongea chochote mawazo yakanipelekea nifikili kuwa yule dada anaweza kuwa kiziwi kwa jinsi alivyokuwa ameuchuna
supu hii hapa na chapati zako hizi zishike vizuri maana za moto"aliongea muhudumu wa mgahawa ule lakini sikumjibu zaidi nilikuwa namuangalia yule msichana kwa jicho la wizi japo yeye hakuwa na mawazo na mimi
dada nakusalimia"niliongea kwa nguvu kiasi hali iliyofanya baadhi ya wateja walio kuwa karibu na meza niliyokuwapo wageuke na kuniangalia kujua nini kilichokuwa kinaendelea pale mezani
pouwa"alijibu kwa dharau huku sehemu ya juu ya mdomo wake akiibetua kisha akarudisha sura yake kwenye ile supu
baadhi ya wateja walioona liletukia la mimi kudhalauliwa na yule msichana walicheka kichinichini huku wengine wakininyooshea vidole
nilijisikia aibu sana kujibiwa kwa dharau na yule msichana nilijiona kama amenivua nguo mbele za watu sikutaka kuendelea kukaa tena na yule msichana kwani nilijua ningeendelea kukaa pale bhasi siku yangu ingeharibika nikanyanyuka na kuelekea kwa yule dada aliyenihudumia
supu ambapo nilimkuta akisukuma chapati
mmh vipi umeshamaliza"aliongea dada yule punde tu aliponiona nimesimama mbele yake
hamna ni..."kabla sijamalizia sentensi ile yule dada niliyemuacha pale mezani naye akaja huku akiwa ameshika noti ya elfu tano mkononi
supu yako ni nzuri"aliongea kwa madaha yule dada huku akitoa ile pesa na kumpa yule dada muhudumu wa mgahawani
ahsante ila tangu juzi nakuona hapa mgahawani umekuwa mteja wangu sasa"aliongea yule dada aliyekuwa anauza chakula huku akiludisha chenchi kwa dada yule
wakati yote yanaendelea nilikuwa nimekaa kimya nikimwangalia yule dada
zile hasira nilizokuwa nazo zikayeyuka ghafla baada ya kuona tabasamu lililoleta vishimo kwenye mashavu yake maharufu kama vidimpo
mtoto mzuri sana huyu itakuwa ni kosa la jinai kama nikimkosa"niliongea mwenyewe kwa sauti ya chini huku nikitoa kitabasamu cha haja
mbona unacheka mwenzetu aliongea yule dada huku akiniangalia usoni mwangu "nilijikuta nikikosa kujiamini baada ya macho yangu yalipogongana na macho ya yule msicha
hamna nilimjibu huku nikiangalia chini
sasa dada baadae bhasi"nilimuaga yule dada anayeuza chakula kisha nikaanza kupiga hatua chache kuondoka pale mgahawani
mawazo juu ya yule msichana yakaanza kuniteka akili yangu kwa mda huo
piiiipiiii ilisikika sauti ya pikipiki ikipiga honi kwa nguvu kuelekea maeneo yale niliyokuwepo
nilipiga hatua kadhaa za haraka kisha nikaruka mbele bila kuangalia ile pikipiki iliyokuwa inapiga honi kwa pupa
mamamzazi"ilisikika sauti ya mtu nyuma yangu sauti ile ilinifanya nigeuke kwani haikuwa ngeni masikioni mwangu
mmmh"niliguna kwa mshangao punde nilipogeuka na kumuona muhanga wa ajali ile alikuwa ni yule dada niliyekutana nae mgahawani
harakaharaka nikageuka na kuelekea pale pikipiki ilipokuwa imepiga mweleka kisha nikainyanyua kwa nguvu ilikumtoa yule dada ambae alikuwa amelaliwa na pikipiki
inamaana huyu dada ndiye aliyekuwa anaendesha pikipiki nilijiuliza mwenyewe bila kupata jibu sahihi
umeumia?"nilimuuliza kwa haraka baada ya kufanikiwa kuitoa ile pikipiki
hapana"alinijibu huku akitikisa kichwa chake
mmh ulikuwa unaendesha mwenyewe"nilimuuliza kwa pupa hali iliyomfanya aniangalie usoni kisha akatoa kitabasamu ambacho sikujua kilikuwa kinamaana gani
Yule dada alitoa tabasamu la ghafla huku akiniangalia
nitoe naumia"ndiyo kauli iliyonitoa katika lindi lile la mawazo harakaharaka nikamnyanyua yule dada na kumuweka pembeni huku mguu wake mmoja akiwa anachechemea
umeumia sana"nilimuuliza kwa kudadisi huku nikimuangalia mguuni mwake na mkono wangu mwingine ukimpapasa
hakika aliumbika maana aliponyanyua gauni lake kuangalia sehemu ile aliyoumia nilibaki nimeduwaa sikutaka kupitisha mawazo ya kuamini kama lile lilikuwa paja la mwanamke tena yupo hapo karibu yangu mawazo yangu yaliluka mile kadhaa kutokea pale tulipokuwa tumesimama
mbona unashangaa"aliongea yule dada baada ya kuniona nimekodolea paja lake leupe lisilokuwa hata na chembe ya doa
hamna"nilimjibu huku nikitoa macho yangu yaliyoshangaa paja la mwanamke yule
ahsante kwa moyo wako aliongea yule dada huku akipungia mkono bajaji kuashira alitaka kuondoka mahala pale
watu wengi waliokuwa mahala pale walikuwa wanazungumzia juu ya ajali ile iliyotokea punde
dakika chache baada ya kuiita bajaji ilifika mahala pale kisha akajitoma ndani na akaondoka mahala pale huku akiutoa mkono wake nje akinipungia
namba ya simu"ni wazo lililonijia kichwani mwangu kwa mda huo nilijikuta nikijilaumu kutokuchukua namba kwa msichana yule nisiyejua wapi alipokuwa anakaa
nilijiona mpumbavu sana kwa kumuachia msichana yule aondoke bila kupata namba yake
taratibu nikaanza kupiga hatua kuelekea chumbani huku nikiwa na mawazo kadhaa juu ya msichana yule ambae sikujua anaitwa nani kwani endapo ningelijua jina lake na sura yake naifahamu bhasi ningeingia facebook na kumtafuta
nilianzakupiga hatua zisizokuwa na uhakika uku mara kwa mara nilikuwa nikigeuka nyuma kuangalia labda yule mwanamke anaweza kurudi mahala pale kwani nilitamani sana kupata namba yake kwa mda huo kwa mara nyingine nikaanza kujiona mpumbavu kwa kukosa namba za mtoto yule asiyeisha sifa kedekede mawazoni kwani nilimuona kama malaika
d ilisikika sauti ya kike ikiniita kwa nyuma wakati huo nilikuwa nimeshafika mlangoni mwangu na mkono wangu ulikuwa umeshafika kwenye kikomeo cha mlango wangu
niligeuka kwa haraka kuelekea upande ule wa sauti ilipo kuwa inatokea nilibaki nikishangaa baada ya kumuona mpangaji mwenzangu akiwa nyuma tena akichanua tabasamu pana usoni mwake
mbona upo ivyo"aliniuliza yule mpangaji mwenzangu alikuwa anaitwa pendo
hamna vipi mbona upo hivyo"niliongea kwa sauti ndogo isiyojiamini huku nikipepesa macho yangu huku na kule
Kwani sikutaka kushuhudia kasuku wangu akitutumka kwa kumuona pendo jinsi alivyokuwa amevaa
kwani alikuwa ametoka kuoga asubuhi ile na hakuwa amejifuta maji hivyo ile khanga nyepesi aliyokuwa ameivaa iliweza kumchora vizuri umbile hata yale makalio yake makubwa yaliyojiweka kwa mpangilio maalumu yakawa yamejichola kufuatia khanga ile iliyokuwa imelowa kiasi na kusababisha kugandamana kwa khanga ile na makalio ya pendo huku kufuri lake likionekana kwa pembeni likiwa limetulia kama maji mtungini
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI
KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
Email: ZephilineEzekiel@Gmail.Com