UTAMU WA MCHEZO (10)

Zephiline F Ezekiel
UTAMU WA MCHEZO (10)
JINA: UTAMU WA MCHEZO Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA KUMI ILIPOISHIA... Kiukweli maisha yangu yalikuwa na majuto mengi kweli uzuri bila akili sehemu za siri ndo zitaumia ndio mimi pamoja na uzuri nilionao sikuwa na msimamo sasa familia nzma wamenipitia kuna wakati nalia hata nafikiria niondoke pale nyumbani nikaishi mbali ila sasa sijamaliza chuo ndio tatizo. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "This time around nikimaliza chuo miezi mitatu iliyobaki nitaondoka mungu amenipa nafasi ya kuwa kwenye familia bora nimeshndwa kuitumia kuna wenzangu wanaishi ktk mazingra magumu kama renata lakini bado wana msimamo why mimi haya na wakati kila ninachohitaji nakipata?" niliendelea kuwaza nikiwa bado kitandani nikamkumbuka mama ila atanichukuliaje akigundua nimetembea na dadie haya kwangu ni majuto. Nilinyanyuka nikavua nguo zangu ili nikaoge maana nilichoka mwili na akili ilikuwa ni lazima nioge ili nipumzishe akili. Wakati huohuo mlango ulifunguliwa …