CHACHANDU YA MUHOGO (1)
JINA: CHACHANDU YA MUHOGO Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KWANZA Haya yalikuwa ni Maongezi kati ya Mjukuu na babu yake,hii ni baada ya kuona wanawake wanamtosa sana,hali iliyompelekea kuwa muwazi kwa babu yake kwani ndiye pekee mkubwa aliyekuwa anaweza kumwambia siri zake,walikuwa wamekaa nje chini mwembe NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU ,,,mjukuu wangu sikiliza,umepata bahati sana ya kuwa na babu kama mimi ambaye unaweza ukaniambia kila kinachokusumbua,,, ,,,ni kweli babu,sasa hilo jambo unanisaidiaje,,? ,,,hiyo ni kazi ndogo sana,cha kufanya,ukimpata mwanamke mlete kwangu halafu nitakwambia kitu kizuri juu yake,,, ,,,haya babu,kwahiyo una uhakika haya matatizo nilivyokwambia hayatatokea,,? ,,,ndio,ila unachotakiwa kufanya ni hiki,ukimleta msichana wako aje na mwenziye mkubwa kidogo au sio babu,,? ,,,aaaah!,na wewe unataka babu eeh,,! ,,,ndio hivyo nichangamshe damu kidogo,CHACHANDU yangu inatakiwa kuchachuliwa,,, ,,,sasa itakuwaje mimi nikiwa na msichana wangu halaf…