CHACHANDU YA MUHOGO (2)

Zephiline F Ezekiel
CHACHANDU YA MUHOGO (2)
JINA: CHACHANDU YA MUHOGO Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... ,,,kweli nimejua kitu babu,ila ungeweza kunielekeza tu kwa mdomo ningeelewa,nawe ulikuwa unataka kusuuza rungu tu,,,Daki aliongea hivyo huku kusuuza rungu akimaanisha ni kusugua mwanamke ,,,hivi mwalimu wako darasani kama anakufundisha hatua za Upishi wa kababu bila kuzipika utakuwa mpishi mzuri kweli,,? NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... ,,,haya bwana,nakujua we hukosagi la kusema,kaoge sasa jembe langu,,,alitumia msamiati mwingine kumwita Jembe babu yake akimaanisha ni mtu wa karibu anayemkubali Daki alikuwa anasoma shule ya sekondari kidato cha Tano ya karibu na nyumbani ambayo ilikuwa ni ya kutwa,hivyo aliweza kwenda shule na kurudi nyumbani kila siku,usafiri aliokuwa anautumia ni baiskeli kwenda nayo shule,maisha yao ya nyumbani yalikuwa ni ya kawaida lakini mama yake alijitahidi kupambana na huku n akule kiasi kwamba aliweza kumwacha apesa nzuri mwanaye huku akiamini ku…