CHACHANDU YA MUHOGO (3)
JINA: CHACHANDU YA MUHOGO Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA TATU ILIPOISHIA... Walipomaliza kunywa chai,wakaondoka huku mmoja wakamwacha hapo kibandani japo alikuwa ameshamaliza kunywa chai ,,,mama hogo,,, ,,,nambie mpenzi,,,alizoea kuwaita hivyo wateja wake wa kiume ili kuwavuta zaidi ,,,wewe tako nzuri sana,mimi ninunue hata kwa dakika chache tu,,, NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... ,,,mmmh,sa unaongea kwa maneno tu jamani mpenzi,,,Sophia aliongea hivyo huku akimsogelea Mchina huyo aliyekaa kwenye kiti cha mbao kilichowekwa sponchi juu yake kisha Akakaa naye karibu kabisa,,, ,,,bei gani kupata utamu huo,,, ,,,elfu themanini tu jamani,nitakupa utamu mpaka mwenyewe ukubali,,, ,,,Mchina hakusubiri,alitoa pochi yake na kutoa pesa aliyoambiwa kisha Sophia akenda kule kwenye uzio na kufunga mlango Alipokuwa anarudi alitembea kwa madaha,huku jicho lake likimwangalia mchina huyo kwenye zipu yake jinsi ilivyotuna,,,mchina anapenda kitumbua huyu,,!,alijisemea moyoni…